Hali halisi ya utoaji chanjo ya Uviko-19 barani Afrika

February 16, 2023 8:27 am · Daniel Samson
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Wahudumu wa afya wanne kati ya 10 katika nchi 23 za Afrika wamepata dozi kamili ya chanjo ya Uviko-19, jambo linalosaidia kuimarisha mapambano dhidi ya ugonjwa huo.

Enable Notifications OK No thanks